Rais wa zamani wa Ujerumani na Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Fedha wa Kimataifa Horst Koehler amefariki Jumamosi ...
MABINGWA watetezi, Yanga wamekaa kileleni baada ya kuwaangamiza Kagera Sugar mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam jana. Ulikuwa ni u ...
Baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutoa wito kwa nchi za kiarabu wa kuwachukua wakimbizi wa Kipalestina, Wizara ya Mambo ...
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi, amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, lengo lake kuu ...
Rwanda inaikalia kwa mabavu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kujaribu kupanga mabadiliko ya utawala, waziri wa mambo ya ...
Rais wa Kongo Félix Tshisekedi ameapa kurejesha mamlaka ya serikali mashariki mwa nchi, ambako waasi wa M23 wanaoungwa mkono ...
Kocha wa Arsenal Mikel Arteta, amewaambia wachezaji wake waendelee kufikiri kuhusu michezo inayofuata na kuachana na matokeo ...
WINGA wa Tanzania, Simon Msuva anayekipiga katika klabu ya Al Talaba ya Iraq amesema uzoefu alioupata kucheza ligi mbalimbali ...
MOTO wa kocha Sead Ramovic bado unaendelea kuwachoma wapinzani wa Yanga katika Ligi Kuu Bara baada ya Gusa Achia Twende Kwao ...
SERIKALI ya Israel imewaachilia wafungwa 183 wa Kipalestina, muda mfupi baada ya Wanamgambo wa Hamas kuwaachilia mateka ...
DAR ES SALAAM: MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuamuru mmiliki wa Hospitali ya Salamaan, Dk Abdi Warsame ,60, kulipa kiasi ...
Mamia ya wafanyabiashara waliokidhi vigezo vya kurejea soko la Kariakoo wamejitokeza kuchukua fomu kwa ajili ya kuanza tena ...