Siku ya jana, mhariri mkuu wa jarida la The Atlantic, huko Marekani alifichua kuwa alijua saa mbili kabla juu ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya Wahouthi nchini Yemen, baada ya maafisa wa utawala wa ...
Mwaka unaokamilika wa 2021 ulikuwa na panda shuka nyingi kwa Tanzania. Miongoni mwa matukio makubwa yaliyotokea nchini humo ni kuaga dunia kwa rais aliyekuwa madarakani hayati John Pombe Magufuli.
Wabunge wa Tanzania wamepitisha mswada wa mabadiliko ambao unatoa madaraka makubwa kwa msajili wa vyama vya siasa ambaye anateuliwa na serikali. Bunge la Tanzania limepitisha mswada wa mabadiliko jana ...
Licha ya serikali Tanzania kudai kuwa imeimarisha ugavi wa umeme kwa kusambaza huduma hiyo katika maeneo mbalimbali ikiwamo vijijini, sehemu kubwa zimekumbwa na tatizo la ukosefu wa umeme katika wiki ...
Kanisa Katoliki lina ushawishi mkubwa na kijadi linakosoa mamlaka nchini DRC. "Kwa shauku, kwa dhamira, wengi wetu tulijitokeza kueleza mapendeleo yetu kidemokrasia," ametangaza Kardinali Fridolin ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results