Ingawa uagizaji wa silaha katika nchi za Afŕika umepungua kwa takriban -41%, kulingana na ŕipoti ya Taasisi ya Utafiti wa Amani ya Kimataifa ya Stockholm (SIPRI), nchi za Afŕika ya Jangwa la Sahaŕa ...
Wahamiaji 40 kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara, wakiwemo watoto wachanga, wamefariki siku ya Jumatano, Oktoba 22, baada ya boti waliokuemo kuzama baharini katika pwani ya Tunisia walipokuwa ...
Kulingana na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, mwanamke mmoja kati ya watano amekuwa mwathirika wa unyanyasaji wa kijinsia au ubakaji kabla ya kufikisha umri wa miaka 18 katika eneo ...
Ufisadi unaendelea kuwa changamoto kubwa barani Afrika, huku nchi nyingi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara zikiorodheshwa miongoni mwa zile zilizo na alama za chini zaidi katika Kielezo cha ...